KIBAKA ASHUGULIKIWA MARA BAADYA KUTAKA KUFANYA UHARIFU JIJINI DAR ES SALAAM

 Askari wa kaampuni ya G1 Security wakimrekebisha mtuhumiwa wizi ambaye jina lake halikupatikana  mara moja ambaye alikuwa katika harakati za kutaka kufanya uharifu  katika Jengo la PAM RESIDENCE jijini  Dar es salaam.
 Mtuhumiwa wa uharifu katika jengo la PAM RESIDENCE jijini Dar es Salaam.
Mtuhumiwa wa wizi  ambaye jina lake halikupatikana mara moja akihojiwa na Askari wa kaampuni ya G1 Security juu ya jiwe alilokuwa nalo kwenya mfuko  picha na EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment