
Mshambuliaji James Rodriguez ameonyesha anaweza baada ya kufunga bao kama lile linalofanana na alilofunga Robin van Persie wa Uholanzi katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil.
James amefunga bao hilo katika mechi ngumu ya La Liga ambayo Real Madrid imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Sevilla ambayo imekuwa ikiwasumbua sana.
0 comments:
Post a Comment