
Aliyekuwa kiungo machachari wa timu ya Yanga SC,
Athumani Iddi 'Chuji' ameachana na timu hiyo na kujiunga na Azam FC.
Athumani Iddi 'Chuji' leo asubuhi ameshiriki katika mazoezi
ya Azam FC ambao ni mabingwa wa Tanzania
Bara, katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment