Taarifa tulizozipata hivi punde zinasema kuwa wale Waislamu
waliofungwa kwa kosa la kuandamana kupinga kitendo cha DPP (MKurugenzi wa Mashtaka)
kuzuia dhamana ya Sheikh Ponda leo rufaa yao imetolewa hukumu katika mahakama
kuu na kwamba wameshinda kesi na kuachiwa huru wote 52.
Taarifa zaidi itakujia hapo baadaye kupitia hapa hapa
Mzizima 24.

0 comments:
Post a Comment