DHAMANA YA SHEIKH PONDA KUJULIKANA  JUMANNE (17/09/2013)

Taarifa za redio one leo asubuhi zinasema  kuwa kesi ya sheikh Ponda imesomwa jana (11/09/2013) katika vyumba vya ndani ya mahakama kisha hakimu akatoka nje kuwajulisha waislamu kuwa kesi imeahirishwa mpaka jumanne ambapo sheikh atafikishwa kizimbani kusomewa mashtaka, yakiwemo yale yanayodaiwa kuwa ya uchochezi na chuki dhidi ya watu wa dini nyingine.

wakati yote hayo yakijiri mtuhumiwa hakupelekwa mahakamani, lakini mahakama imekiri kupokea ombi la dhamana kutoka kwa wakili wa sheikh Ponda. Hivyo jumanne itajulikana hatma ya sheikh.

Wanablog wa mzizima watakupasha yatakayojiri siku hiyo.

taarifa ya Uncle Mloka
Share on Google Plus

About Baba B wa Mburahati

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment