Na Selemani Ramadhan
Inalillahi wainailayhir Raajiuun
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka
katika chanzo cha uhakika kabisa ni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA) imevifungia vituo viwili vya Radio ikiwemo Radio Iman ya
mjini Morogoro na Radio kwa Neema kwa muda usiopungua miezi sita huku
Radio Clouds FM ya jijini Dar Es Salaam ikipewa onyo na kutakiwa kulipa
faini katika kipindi cha mwezi mmoja.
Sababu za kufungiwa:- Kwa Neema FM Mwanza: Sababu ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza
- Radio Iman FM Morogoro: Kushabikia watu kutoshiriki Sensa 2012
- Clouds FM: Kushabikia ushoga & kuendesha kipindi kisichofuata maadili (Jicho la Ng’ombe)

Tuesday, February 26, 2013
Posted in:








0 comments :
Post a Comment