CHINA: MBWA WANAVYOANDALIWA KUWA CHAKULA

Takeaway: A cage full of dogs is lifted like just another type of cargo
MANUNUZI: KIZIMBA KILICHOJAA MBWA KIKINYANYULIWA KAMA MIZIGO MINGINE




Grim: The dogs arrive alive in cages ready to be killed, cut up and cooked at the meat market in Yulin City, Guangxi province, China
MBWA WAMEWASILI WAKIWA HAI TAYARI KWA KUANDALIWA NA KUPIKWA KWENYE SOKO LA NYAMA KATIKA MJI WA YULIN, JIMBO LA GUANGXI, CHINA

A real dogs dinner: A disturbing picture of a dog dish being prepared in China
MSOSI WA MBWA HALISI UKIANDALIWA KWA AJILI YA CHAKULA CHA JIONI NCHINI CHINA

Dog dinner: Diners tuck into a meal which includes dog in Yulin, Guangxi province, China. The tradition dates back thousands of years
WAKAZI WA MJI WA YULIN, JIMBO LA GUANGXI WAKIPATA CHAKULA CHA JIONI KINACHOJUMUISHA NYAMA YA MBWA



Grim: The dead animals lie scattered about ready to be cooked up and eaten in a Chinese restaurant
MBWA  WAKIWA TAYARI KUPIKWA  KATIKA HOTELI MOJA NCHINI CHINA


Dog dining: People tuck into dog meals in a restaurant in China in a grim tradition
WATU WAKIPATA MSOSI WA NYAMA YA MBWA KWENYE MGAHAWA MMOJA NCHINI CHINA KATIKA KUADHIMISHA MILA MAARUFU IJULIKANAYO KAMA MILA YA GIZA.

Dog meat: The animals being prepared for a meal and a living dog, right
MBWA  WAKIANDALIWA KWA AJILI YA CHAKULA 



Chinese meal: Diners tuck into dishes in a restaurant which include dog
MSOSI UNAOJUMUISHA NYAMA YA MBWA!



Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment