"Iron Dome" ni mmojawapo ya kinga nyingi inayomilikiwa na Israel, na inayotumika dhidi ya makombora.
Mfumo huu ulichukua miaka mingi kujenga na ulianza kutumika mapema 2011.
"Iron Dome" imesifiwa sana na jeshi la Israel katika mashambulizi yanayoendelea huko Gaza.
Kinga hiyo ilikuwa imeshazuia makombora 245 tu kati ya makombora 1,000 toka Gaza u, kulingana na habari za kijeshi.
Hata hivyo inaonekana kwamba wapambanaji wa Gaza wanazidi kuboresha silaha zao.


0 comments:
Post a Comment