WAMBURA AREJESHWA SIMBA




Kamati ya Rufaa za Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Nchini TFF imemrejesha Mgombea wa nafasi ya Urais aliyeenguliwa katika mchakato wa Uchaguzi wa Klabu ya Simba Michael Richard Wambura.

Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa za Uchaguzi ya TFF Wakili Julius Lugaziya amesema wametengua uamuzi wa kumuengua Wambura uliotolewa na Kamati ya Uchaguzi ya Simba chini ya Wakili Damas Daniel Ndumbaro!!!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment