BARACK OBAMA AWATOROKA WALIZI WAKE NA KUZAMIA MGAHAWANI KULA BURGER!

Raisi wa marekani Barak Obama kwa mara nyingine, ametokea kuvunja sheria zake za kama raisi na kujichanganya na wananchi wa kawaida kama ilvyo tabia yake, hivyo kutokea kuwapa shida walinzi wake. Barack Obama aliwatoroka walinzi wake na kwenda kununua burger katika moja ya migahawa inayotumika na wananchi wa kawaida, tukio hilo lilizua uwepo mkubwa wa ulinzi kwa muda mchache tu..ikiwa hii ni mara ya pili kwa tukio kama hilo kutokea.
Share on Google Plus

About www.habarika24.blogspots.com

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment