Pichani juu ni Mhe.Theddy Ladislaus Patrick akiapishwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samweli Sitta kuwa Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba.
Mh. Theddy ndiyo Mjumbe mwenye umri mdogo katika Bunge maalum la Katiba linaloendelea hivi sasa mjini Dodoma. Mhe. Teddy anaumri wa miaka 21, na anawakilisha Taasisi za elimu ya juu.
Mh. Theddy akibadirshana mawazo na Wajumbe wengine nje ya ukumbi wa Bunge mjijini Dodoma, kushoto kwake ni Mhe. Hamad Rashid na kulia kwake ni Mhe. Beatrece Shelukindo.Mhe. Theddy Ladislaus akiingia Bungeni.
0Picha na Deusdedit Moshi wa Blugo ya Jamii)
0 comments:
Post a Comment