NYOKA WA AJABU

Ikiwa wewe ni mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yanayohusu ulimwengu wa wanyama, hakiki picha hizi zitakushangaza.

Nyoka mkubwa aliuawa na baada ya kupasuliwa tumbo lake akakutwa na nyoka wengine wadogo wapatao 70. Kitu kinachoibua maswali ni iwapo nyoka hao ni watoto wake au ni sehemu ya chakula chake?
























Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment