CHADEMA YAPANGA MIKAKATI YA KUWAUA WAANDISHI WA HABARI !

Mkurugenzi Wa Ulinzi Na Usalama Chadema - Wilfred Lwakatare






Habari hizo zimefahamika baada ya kupatikana video inaonesha mikakati yao,
video hiyo ni hii hapa, mpaka sasa hatujalipata tamko rasmi la kupinga au kukubali video hiyo.


Anayeonekana na kusikika sauti yake ni MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA WILLIFRED LWAKATARE akitoa maelekezo
kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi mwandamizi wa mwananchi ambaye ni hatari kubwa kwa CHADEMA na ambaye ni rafiki mkubwa wa Zitto. 
Anatolea mfano wa matukio mengine waliyoyatekeleza kama lile la kumwagiwa tindikali MUSSA TESHA huko Igunga na kuuawa kwa kijana katika vurugu za CHADEMA na polisi huko Morogoro ambapo tuliambiwa ameangukiwa na kitu chenye ncha kali.. 
CHANZO:  JAMII  FORUM 
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment