Picha za Raisi Mugabe akianguka zavuruga mitandao ya kijamii

m (1)Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport  baada ya safari yake kutoka Ethipia, ijumaa iliyopita.
m (1)

Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya picha hizo
4 (1)
3 (1)
5 (1)
7 (1)
2 (1)
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment