Ajali ya Moto Dar

Majirani wakiondoa vitu kwenye nyumba iliyoungua moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu sita kupoteza maisha huko Ukonga Kipunguni jijini Dar es salaam.Habari zaidi zitakuja baada ya kuthibitishwa na mamlaka husika.
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment