MAAJABU YA DUNIA HAYA MTOTO WA MIAKA TISA ANAYEMFANYIA UKATILI MAMA YAKE, AMSHIKIA KISU AKITAKA KUMUUA.

Wewe unadhani ukatili wa kijinsia ni kwa wazazi au walezi tu kwenda kwa watoto? Hapana hata kwa baadhi ya wazazi pia inatokea kwa kufanyiwa ukatili na watoto wao ila hushindwa kujitokeza hadharani kusema mbele ya jamii kwa aibu au kufanya hivyo mara chache.

Hii imemtokea kwa mwanamke huyu aitwaye Bobbi kutoka Southampton , Uingereza ambapo anasimulia jinsi alivyofanyiwa ukatili na mtoto wake mwenye umri wa miaka tisa akitaka kumchoma kisu na wakati mwingine kumvizia akitaka kumuua.
Hali hiyo ilimlazimu Bobbi kuondoa vitu vyote vyenye ncha kali karibu na nyumbani ili kuepusha hatari ambapo hata kwa baba yake wa kambo imekuwa ngumu kwake kuishi pamoja na mtoto huyo kwani ni vita kali.
Share on Google Plus

About www.habarika24.blogspots.com

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment