JE WAJUA KWA NINI ASKARI HAWA HUWEKA KIPANDE CHA NDIZI KICHWANI WAKATI WA KULA?

Miongoni mwa njia zinazotumiwa na wakufunzi katika kambi za jeshi la Ufilipino ili kumfanya mwanajeshi awe ameinua kichwa chake muda wote ni kuweka kipande cha ndizi kichwani wakati wa chakula. Hii ina maana kwamba hawezi kuinamisha kichwa chake, na anatakiwa ahakikishe ndizi hiyo haidondoki. Ndizi ikidondoka atakabiliwa na adhabu ya kijeshi.



Zifuatazo ni baadhi ya picha za mazoezi yao ya kijeshi:





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment