Kuna faida gani
unayoipata unapovuta sigara? Au unajisikiaje wakati unavuta sigara?na pindi
unapokosa sigara unajisikiaje?
Je unafahamu madhara ya
kuvuta sigara,kidini,kijamii,kiafya ,kiuchumi,kihaiba n.k?
Je umeshawahi kufikiria
pesa unazonunulia sigara kama ungejiwekea akiba hadi sasa ungekuwa na kiasi
gani?
Leo soma hapa madhara
machache ya kiafya kwa mvuta sigara.
1.Vidonda vya tumbo.
2.Kansa ya utumbo.
3.Kusinyaa kwa Ini.
4.Kansa ya Ini.
5.Kansa ya umio(oesophagus)-KOO.
6.Vindonda kwenye mapafu.
7.Utapiamlo.
8.Matatizo ya ganzi
miguuni na mikononi(Peripheral Neuropathy).
9.Kisukari.
10.Figo kushindwa kufanya
kazi.(Renal failure)
11.Kansa ya figo
12.Kukosa au upungufu wa
hamu ya tendo la ndoa.(Loss of Libido)
13.Upungufu wa nguvu za
kiume.
14.Kuongeza kasi kwa
baadhi ya magonjwa hata kama unatumia dawa kama vile Kifua
Kikuu, Kansa, Kisukari, Shinikizo la damu la kupanda.n.k
15.Kukosa hamu ya
kula (Anorexia)
16.Kutovyonzwa vyema kwa
chakula (Malabosorption)
17.Ugonjwa wa
kongosho (Pancreatis).
18.Magonjwa ya moyo.
19.Mwili
kutetema (Tremors)
20.Kichaa cha SIGARA (mtu
hawezi kufanya kazi bila ya SIGARA,)
HAYA NI BAADHI TU YA
MADHARA YA SIGARA KIAFYA.ACHA KUVUTA SIGARA UIMARISHE AFYA YAKO.
Wasiliana na mtaalaamu wetu
kwa: 0713844454
0 comments:
Post a Comment