KIFO CHA MBUNGE: TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF ZANZIBAR




Mhe Salim Hemed Khamis amefariki dunia leo tarehe 28/03/2013 katika Hospital ya Muhimbili. Maziko yatafanyika Kesho, saa 4:00 Asubuhi, katika Kijiji cha MIZINGANI, Jimbo la CHAMBANI , Wilaya ya Mkoani Pemba,

Mola amlaze Mahala Pema Peponi – Amin

Imetolewa na Kurugenzi ya Haki za Binaadamu,
Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma

Tarehe 28/04/2013
Saa 8:30 Mchana
Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment