Ajali hii imeelezwa kutokea baada ya dereva wa gari hili
kuwa katika mwendo wa kasi huku akijaribu kumkwepa dereva wa bodaboda na
kujikuta amevamia uzio wa ofisi za SUMATRA zilizoko barabara ya Ali Hassan
Mwinyi jijini Dar es salaam na kujikuta amepenya ndani kupitia uzio.



0 comments:
Post a Comment